Habari

EVENT: UZINDUZI WA ALBUM YA PASTOR MARY KANEMBA,ROHO YANGU.TAR.29 MARCH 2015.

Wakazi wa Dar,Uzinduzi ndio huo jumapili ya tar.29 march katika kanisa la TAG MAGOMENI.Tujitokeze kumsapoti Mchungaji Mary Kanemba,ni kuanzia saa nane mchana na kuendelea.

Advertisements
Previous post

New Video: Mkombozi by Furaha Mweshama.

Next post

New Video: Lilian Ngowi Ft. Christina Shusho & Ronny - Tumaini Limerudi