Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Video: Evelyn Wanjiru – Jehovah Elohim | Its Amazing

Video

Video: Evelyn Wanjiru – Jehovah Elohim | Its Amazing

Shalom mwana wa Mungu! zikiwa zimebaki siku chache kuifikia Pasaka leo nimekusogezea video mbili mpya kutoka kwa moja ya mwimbaji mahiri wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Evelyn Wanjiru kutoka jijini Nairobi Kenya, video ya kwanza inaitwa Jehovah Elohim na video ya pili inaitwa Its Amazing.

Video zote hizi zimeongozwa na kampuni ya Solomon K. Imange Print ikishirikisana na Bwenieve Video.

Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kutazama video hizi nzuri ambazo ni hakika zitakwenda kufanya jambo la Baraka ndani ya moyo na nafsi yako wakati tunaikaribia siku ya Pasaka. Karibu!!

Evelyn Wanjiru – Jehovah Elohim

Evelyn Wanjiru – Its Amazing

Social Media:
Facebook: Evelyn Wanjiru
Instagram: @evelyn Wanjiru

More in Video

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 10 ON GOSPOMEDIA

SUBSCRIBE

Enter your email address to subscribe to this blog and receive notifications of new posts by email.

Join 12,309 other subscribers

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top