Connect with us

Audio: Evelyn Wanjiru – Halleluya

Evelyn Wanjiru - Halleluya

Muziki

Audio: Evelyn Wanjiru – Halleluya

Evelyn Wanjiru - Halleluya

Kutoka jijini nairobi Kenya kwa mara ya kwanza katika mwaka 2019 mwimbaji mahiri wa nyimbo za Sifa na Kuabudu Evelyn Wanjiru ameachia video ya wimbo wake mpya uitwao Halleluyah.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu uliobeba habari njema kwa ajili yako wewe mtoto wa Mungu, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na Evelyn Wanjiru kupitia:
Simu/WhatsApp: +254 728 422084
Facebook: Evelyn Wanjiru
Instagram: @evelyn_wanjiru
Twitter: @evelynwanjiru_a
Youtube: Evelyn Wanjiru

1 Comment

1 Comment

  1. Johnson Reward from Tz Kilimanjaro

    July 15, 2019 at 8:40 pm

    Be blessed my sister Evelyne becouse your songs blessing my life and are making me to think high about my life style in Jesus.

Leave a Reply

Your email address will not be published.

NAWAPENDA - ZABRON SINGERS

Muziki

VIDEO | NAWAPENDA – ZABRON SINGERS

By October 11, 2021

TRENDING

To Top