Video | Audio: Evelyn Wanjiru - Celebrate(Shangilia) - Gospo Media
Connect with us

Video | Audio: Evelyn Wanjiru – Celebrate(Shangilia)

Audio

Video | Audio: Evelyn Wanjiru – Celebrate(Shangilia)

Kwa mara nyingine tena mwimbaji mahiri wa nyimbo za Sifa na Kuabudu Evelyn Wanjiru kutoka jijini Nairobi Kenya ameachia video ya wimbo uitwao Celebrate(Shangilia) aliouimba katika siku ya tamasha la kusifu na kuabudu liitwalo Praise Atmosphere 2018.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema ikiwa imejaa sifa kwa Mungu wetu, Amen.

Kwa watumiaji wa tovuti bonyeza hapa chini:

Download Audio

Kwa watumiaji wa App bonyeza hapa chini:
Download Audio

Social Media:
Facebook: Evelyn Wanjiru
Instagram: @evelyn_wanjiru

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

To Top