AudioVideo

Video | Audio: Eve Bahati – Umenifaa

Kutoka kenya leo tunamtambulisha kwako mwimbaji wa nyimbo za Injili Eve Bahati na hii ni video yake mpya inayoitwa Umenifaa video ikiwa imeongozwa na studio ya Still Alive video na wimbo ukiwa umetengenezwa na ndani ya studio ya Still Alive Records kutoka Kenya.

gospomedia.com tunakukaribisha kuweza kuitazama video hii na kuupakua(kudownload) wimbo huu kisha washirikishe na wengine ili waweze kubarikiwa kupitia video hii na wimbo huu. Karibu!!

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mwimbaji Eve Bahati wasiliana naye kupitia
Facebook Page: Eve Bahati
Instagram: @evebahati

Like us on facebook >> Gospo Media Follow us on instagram >> @gospomedia

Advertisements
Ritha Komba
Previous post

Xclusive Interview:Mfahamu zaidi Ritha Komba Mwimbaji na Mtunzi wa nyimbo za Injili na Ujio wa Album yake mpya.

Next post

Onstage: Mwimbaji Eunice Mtavangu alivyoimba Live kwenye tamasha la Huru Festival,RUCU Iringa.