Connect with us

Audio: Ev.Fiston Bulambo – Sema Neno Moja

Ev.Fiston Bulambo - Sema Neno Moja

Muziki

Audio: Ev.Fiston Bulambo – Sema Neno Moja

Ev.Fiston Bulambo - Sema Neno Moja

Kutoka nchini Kenya kwa mara ya kwanza katika mwaka 2019 tunamtambulisha kwako mtumishi wa Mungu muinjilisti Fiston Bulambo na huu ni wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Sema Neno Moja.

“Wimbo huu nimeandikia watu wote wanaoamini kwamba kuwa na pesa ni kupata amani na furaha kitu ambacho si kweli nathibitisha haya kupitia ushuhuda uliowahi kutokea katika maisha yangu ambapo nilijiunga na chama cha freemason na kupata pesa nyingi sana lakini sikuwa na furaha ndani yangu nilihangaika sana mpaka pale Mungu alipokuja kunikomboa na hatimaye furaha na amani yangu ilirudi kwa upya na sasa namtumikia Mungu kama muinjilisti. ” – alisema Evangelist Fiston

Ni hakika kupitia wimbo huu kuna jambo la kujifunza juu ya ukuu wa Mungu kwa jinsi ulivyotenda juu ya mtumishi huyu, Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza na kwa hakika utabarikiwa na kuinuliwa kwa namna ya pekee, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na Ev.Fiston Bulambo kupitia:
Simu/WhatsApp: +254 726 720 249
Facebook: Ev.Fiston Bulambo
Instagram: @fistonbulambo
Youtube: fiston bulambo

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

NAWAPENDA - ZABRON SINGERS

Muziki

VIDEO | NAWAPENDA – ZABRON SINGERS

By October 11, 2021

TRENDING

To Top