Connect with us

Video | Audio: Eunice Njeri – Zaidi Na Zaidi

Audio

Video | Audio: Eunice Njeri – Zaidi Na Zaidi

Baada ya kufanya vizuri mwezi Septemba kupitia video ya wimbo wake uitwao Nguruma kwa mara nyingine Kutoka jijini Nairobi Kenya, Leo tumekusogezea video ya wimbo mpya wa kuabudu uitwao Zaidi Na Zaidi kutoka kwa mwimbaji mahiri wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Eunice Njeri.

Video hii imeongozwa na director Bakari Ousman kutoka studio za Crosslife Movement, Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa chini ya mikono ya prodyuza Chris Jones.

“Mpeni Mwenyezi-Mungu heshima enyi viumbe vya mbinguni, semeni Mwenyezi-Mungu ni mtukufu na mwenye nguvu.” – Zaburi 29

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema tukiamini kuwa itakubariki kila siku, Ameen.

Kwa watumiaji wa tovuti bonyeza hapa chini:

Download Audio

Kwa watumiaji wa App bonyeza hapa chini:
Download Audio

Social Media
Facebook: Eunice Njeri
Instagram: @eunicenjeri
Youtube: Eunice Njeri

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

To Top