AudioVideo

Video | Audio: Eunice Njeri – Nguruma

Kutoka jijini Nairobi Kenya, leo tumekusogezea video ya wimbo mpya uitwao Nguruma kutoka kwa mwimbaji mahiri wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina laEunice Njeri.

Video hii imeongozwa na TrueD Pictures, Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa chini ya mikono ya prodyuza Chris Jones na Teddy B.

“Mpeni Mwenyezi-Mungu heshima enyi viumbe vya mbinguni, semeni Mwenyezi-Mungu ni mtukufu na mwenye nguvu.” – Zaburi 29

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii na hakika utabarikiwa, Ameen.

Download Audio

Social Media
Facebook: Eunice Njeri
Instagram: @eunicenjeri
Youtube: Eunice Njeri

Like us on facebook >> Gospo Media Follow us on instagram >> @gospomedia

Advertisements
Previous post

Ujio Mpya Wa Tukuswiga IM, Changamoto za Huduma, Mabadiliko anayoyataka

Next post

Audio: Warren Henrick - Salama Rohoni