Connect with us

Audio: Eunice Kemunto – Tangu Kuamini

Muziki

Audio: Eunice Kemunto – Tangu Kuamini

Baada ya wiki chache zilizopita kuachia wimbo wake mzuri uitwao Nakupenda Yesu, Kwa mara nyingine Mwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka nchini Canada Eunice Kemunto ameachia tena wimbo wake mpya uitwao Tangu Kuamini ikiwa ni zawadi maalumu katika kuupokea mwaka 2019. Muziki ukiwa umetayarishwa na kurekodiwa chini ya mikono ya prodyuza Paul.

“Kwa kuwa nimekombolewa nitasifu kwa jina la mwokozi wangu. Heri Mpya 2019!” – Eunice Kemunto

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu na ni hakika utakubariki na kuweka jambo jipya ndani yako, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na Eunice Kemunto kupitia:
Simu/WhatsApp: +1 7809 010 912
Facebook: Eunice Kemunto
Instagram: @kemunto_eunice
Youtube: Eunice Kemunto

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

GUARDIAN ANGEL - NI TABIBU_audio

Muziki

AUDIO | GUARDIAN ANGEL – NI TABIBU

By September 22, 2021

TRENDING

To Top