Audio

Audio: Eunice Kemunto – Nakupenda Yesu

Baada ya kuachia video ya wimbo uitwao Mambo ya Ajabu mwezi Oktoba, Mwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka nchini Kanada Eunice Kemunto ameachia tena wimbo wake mpya uitwao Nakupenda Yesu.

Muziki huu umetayarishwa na kurekodiwa chini ya mikono ya prodyuza Jacky B kutoka nchini Kenya.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu na ni hakika itakubariki na kukupa jambo jipya ndani yako, Amen.

Kwa watumiaji wa tovuti bonyeza hapa chini:

Download Audio

Kwa watumiaji wa App bonyeza hapa chini:
Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mwimbaji Eunice Kemunto kupitia:
Simu/WhatsApp: +1 7809 010 912
Facebook: Eunice Kemunto
Instagram: @kemunto_eunice
Youtube: Eunice Kemunto

Advertisements
Previous post

Video | Audio: Eunice Njeri - Zaidi Na Zaidi

Next post

Audio: Fortune Angelo - Strong