AudioVideo

Video | Audio: Eunice Ferdinand-Agape Love

Kutoka jijini Mwanza kwa mara ya kwanza tunamtambulisha kwako mwimbaji mpya anayefahamika kwa jina la Eunice Ferdinand kutoka katika huduma ya muziki wa Injili nchini Tanzania na hii ni video yake ya kwanza kuachia iitwayo Agape Love.

Video hii imeongozwa na Director Jellodz, Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za Steny Music chini ya mikono ya prodyuza J7 (Jellods).

“MUNGU katenda mema mengi maishani mwangu alimtuma mwanae Yesu Kristo kuniokoa, kaniweka huru kanipa furaha hivyo mara zote nitamshukuru na sitaacha kumwimbia, Upendo wake ni wa Agape.” – alisema Eunice.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema na hakika utabarikiwa zaidi kila utakapokuwa unakusikiliza wimbo huu. #AgapeLove

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mwimbaji Eunice Ferdinand kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 766 039 087
Facebook: Eunice Ferdinand
Instagram: @euniceferdinand
Twittter: @euniceskyc
Youtube: Eunice Ferdinand

Like us on facebook >> Gospo Media Follow us on instagram >> @gospomedia

Advertisements
Previous post

Video | Audio: Hellen sogia - Umetamalaki

Next post

Audio: Mr.Johnson-Huwezi