Connect with us

Video: Ester Nyanda – Inuka

Muziki

Video: Ester Nyanda – Inuka

Kutoka jijini Mwanza leo tumekusogezea video mpya ya wimbo uitwao Inuka kutoka kwa mwimbaji mwenye sauti ya pekee akijulikana kama Ester Nyanda.

Video ya wimbo huu imeongozwa na director Arthur, Muziki ukiwa umetayarishwa na kurekodiwa chini ya mikono ya prodyuza Justin Rider.

Mara nyingi binadamu tunakata tamaa kutokana na maisha na hali tofauti tofauti za changamoto,hata kufika hatua ya kusahau ahadi za Mungu katika maisha yetu..tumekaa chini mavumbini vyakutosha..kukaa kwetu chini haileti suluhu yoyote ya matatizo yetu Bali huzidi kumpa adui nafasi ya kutushambulia..kama tunataka kukna mabadiliko ni lazima KUINUKA..Hatuwezi kutazamia yaliyo juu tukiwa chini.. Rafiki..INUKA..imetosha kujilaumu..inua macho utazamie ushindi wako kwa upya zaidi.

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mwimbaji Ester Nyanda kupitia:
Facebook: Ester Nyanda
Instagram: @nyandaester
Youtube: Ester Nyanda

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

TRENDING

To Top