Music

Audio: Ese-Osa – Believe

Moja ya mwimbaji aliyewahi kuwa mshindi wa tuzo za muziki wa Injili anayefahamika kwa jina la Ese-Osa maarufu kama Liora kutoka nchini nigeria, ameachia wimbo wake mpya wa kuabudu uitwao ”Believe” muziki ukiwa umetayaarishwa na mikono ya prodyuza Johnny Drille kutoka nchini nigeria.

“Believe” ni wimbo ambao unatutia moyo na kutuhimiza kutegemea uweza wa Mungu katika kutuokoa na hali yoyote. Ikiwa unaweka imani yako kwake Mungu unaweka mtazamo sahihi, ikiwa unampa shukrani, utaona Mungu akifungua milango mipya ya baraka katika maisha yako, #Believe.” – Alisema Ese-Osa

Nina imani kuwa utabarikiwa na wimbo huu ambao unatuhimiza kuwa na Imani kwa Mungu ili aweze kutupatia nguvu kushinda vita vya majaribu. Karibu kusikiliza na kupakua!

 

Download Audio

Social Media
Facebook: Ese-Osa Music
Instagram: @eseosamusic
Twittter: @eseosamusic

Like facebook page >> GOSPOMEDIA  Follow instagram page >> @gospomedia

Lads

Lads

Mimi ni Ladslaus Milanzi mwanzilishi na muasisi wa mtandao bora wa habari za kikristo, maarifa na burudani za muziki wa Injili kutoka ndani na nje ya Tanzania. Naamini nimebeba kusudi la kumtumikia Mungu na jamii kupitia chombo hiki ambacho kwa hakika kinazidi kuwa baraka kwa waimbaji, wachungaji, watu binafsi, makanisa na taasisi mbalimbali ambazo zimekuwa zikitumia chombo hiki kupata taarifa, kujifunza na kujitangaza. Mungu Ibariki Gospo Media, Mungu Ibariki Tanzania.
Wasiliana nami kupitia simu/whatsApp: +255 755 038 159.

Previous post

Video | Audio: Masterpiece - Chini ya Mwamba

Next post

Video | Audio: Mireille Basirwa - Holy Adonai