Audio

Audio: Ernesto Mlelwa – Safari Yangu

Mwimbaji wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Ernesto Mlelwa kutoka mkoani Njombe ameachia wimbo wake mpya uitwao Safari Yangu ikiwa ni wimbo unaobeba jina la albamu yake ya kwanza aliyoiachia hivi karibuni.

Muziki huu umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za Emmrs Record chini ya mikono ya prodyuza Moses Mlowe.

“Safari Yangu ni wimbo wa uamsho kwa watu wote wanaomuamini Yesu Kristo ukitukumbusha na kutuhimiza juu ya kuacha maisha ya dhambi na kumrudia Yesu Kristo kwa maana hakuna anayejua safari ya kila mmoja zaidi ya Mungu Baba peke yake” – alisema Ernesto

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu mzuri ukiwa umebeba fundisho ndani yake, Amen.

Kwa watumiaji wa tovuti bonyeza hapa chini:

Download Audio

Kwa watumiaji wa App bonyeza hapa chini:
Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mwimbaji Ernesto Mlelwa kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 757 855 891
Facebook: Ernesto Mlelwa
Instagram: @ernestomlelwa

Advertisements
Previous post

Audio: Dona JR - Nashusha Nyavu

Next post

Audio: Baraka Mwampamba - Ingilia Kati Yesu