Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Audio: Entujael Msangi-Roho Mtakatifu

Audio

Audio: Entujael Msangi-Roho Mtakatifu

Kutoka mjini Manyara kwa mara nyingine tena tumekusogezea wimbo mpya uitwao Roho Mtakatifu kutoka kwa mwimbaji Entujael Msangi, Muziki huu umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za Tupo Media chini ya mikono ya prodyuza Nathan Kombi.

“Wimbo unasema Roho mtakatifu shuka utujaze, Tukiwa nawe Roho twapata kila kitu kiongozi wa kweli mwalimu wa kweli natamani tunda lako Roho maishani mwangu upendo furaha amani uvumilivu utu wema Roho niwezeshe.” – alisema Entujael Msangi

Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kutazama video hii na kupakua wimbo huu ambao nina hakika utakubariki sana, Ameen!

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi au mialiko ya huduma wasiliana na muimbaji Entujael Msangi kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 756 557 731
Facebook: Entujael Msangi
Instagram: @entujaelmsangi
YouTube: Entujael Msangi

Like us on facebook >> Gospo Media Follow us on instagram >> @gospomedia

Advertisements
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top