Audio
Audio: Enea Kelvin – Miyeruwe (I Praise You)
Kutoka nchini Nigeria leo tumekusogezea wimbo mzuri uitwao Miyeruwe (I Praise You) kutoka kwa mwimbaji wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Enea Kelvin.
Miyeruwe ni wimbo wa sifa na shukrani kwa Mungu Mwenye nguvu ambaye sifa na shukrani tunazirudisha kwake yeye aliye mkuu.
Social Connection:
Facebook: Enea Kelvin
Instagram: @eneakelvin
Twitter: @eneaa9
Youtube: ENEA KELVIN
