Habari

EMMANUEL TV YA TB JOSHUA KUANZA KUONEKANA KUPITIA DSTV NA GOTZ

Habari njema kwa wale wote wanaopendelea kutazama stesheni ya televisheni ya Emmanuel Tv inayomilikiwa na kanisa la SCOAN lililopo nchini Nigeria likiwa chini ya Nabii TB JOSHUA ni kuwa stesheni ya Emmanuel Tv itaanza kurusha matangazo yake kupitia ving’amuzi vya DSTV na GOTV kuanzia Alhamisi ya Novemba 19, huku kwa DSTV itakuwa channel 390 na channel 82 kwenye Gotv. Taarifa hizi ni rasmi kutoka kwenye ukarasa rasmi wa TB Joshua Ministries.

Advertisements
Previous post

MUSIC VIDEO: B4C - FIMBO YA SHETANI

Next post

TAZAMA VIDEO MPYA YA HAPPYNESS ELISHIO-KUSUDI LAKO