Audio

Audio: Elvis Kiwanga – Sina Hofu

Baada ya kufanya vizuri kupitia wimbo wake wa Uhimidiwe aliouachia mwezi Mwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka jijini Dar es salaam Elvis Kiwanga kwa mara nyingine tena ameachia wimbo wake wa nne kwa mwaka 2018, Muziki huu umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za E Records.

Sina Hofu ni wimbo unaodhihirisha ukiri wa Imani ya mtu kwa Mungu, Kupitia wimbo huu tunakumbushwa kumtanguliza Bwana wetu Yesu Kristo katika kila jambo tunalowaza na kufanya kwakuwa chanzo cha uhai wetu, nguvu yetu na vyote tuvionanvyo na kumiliki vinatoka kwake. Zaburi 66:3 Mwambieni Mungu: “Matendo yako ni ya ajabu mno! Nguvu zako ni kubwa mno hata maadui zako wanajikunyata kwa hofu.

Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kusikiliza wimbo huu nikiamini kuwa utakugusa na kukubariki, Ameen.

 

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi au huduma ya mialiko wasiliana na mwimbaji Elvis Kiwanga kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 682 886 826
Facebook: Elvis Kiwanga
Instagram: @eagleredemption(Elvis Kiwanga)
YouTube: Elvis Kiwanga

Like us on facebook >> Gospo Media  Follow us on instagram >> @gospomedia

Advertisements
Previous post

Ujumbe wa Leo: Madhara ya Dhambi - Mchungaji Daniel Mgogo, KKKT Kijitonyama

Next post

Video | Audio: Gift Mwamba - Uvumilivu