Connect with us

Audio: Elshadai Emanuel – Bwana Niko Salama

Elshadai Emanuel - Bwana Niko Salama

Muziki

Audio: Elshadai Emanuel – Bwana Niko Salama

Elshadai Emanuel - Bwana Niko Salama

Kutoka jijini Dar es salam Tanzania kwa mara ya kwanza tunamtambulisha kwako mwimbaji mpya anayefahamika kwa jina la Elshadai Emanuel na huu ni wimbo wake wa kwanza kuachia unaokwenda kwa jina la Bwana Niko Salama.

“Wimbo huu umebeba ujumbe wa mtu binafsi kumshukuru mungu kwa kumfanya kuwa salama, Pia ni uthibitisho wa mtu binafsi kumthibitishia Mungu kuwa yeye yuko salama kuwa kwake ndani ya maisha yake.” – alisema Elshadai

Muziki huu umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za GCC Production chini ya mikono ya prodyuza Dave.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu mzuri wa kuabudu tukiamini kuwa utabarikiwa, Amen.

 

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na Elshadai Emanuel kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 653 363 776
Facebook: Elshadai Emanuel
Instagram: @elshadaiemanuel
Youtube: Elishadai Emanuel

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top