Connect with us

Audio: Elizabeth Kasase – Mtetezi

Muziki

Audio: Elizabeth Kasase – Mtetezi

Kutoka mjini Dodoma mwimbaji mpya wa nyimbo za Injili Elizabeth Kasase leo ameachia wimbo wake mpya uitwao Mtetezi, Muziki huu umetayaarishwa na mikono ya prodyuza Amani Dedani kutoka studio za Adonae Records zilizopo mjini Dodoma.

“Ujumbe wa wimbo huu ni wa kutukumbusha kuwa katika hali zote za maisha mfano magonjwa, majaribu, hata tunapopita pagumu hakuna aliye Mtetezi zaidi ya Yesu Kristo kwa maana yeye alitujua toka tumboni mwa mama zetu, huyu ni mtetezi wetu aliyehai, mfariji na mponyaji wa mioyo yetu” – alisema Elizabeth

Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kusikiliza na kupakua wimbo huu mzuri ambao nina imani kuwa utakubariki na kukuinua, Ameen.

 

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mwimbaji Elizabeth Kasase kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 759 978 836
Facebook: Elizabeth Kasase
Instagram: @elizabethkasase
Youtube: Elizabeth Kasase

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

NAWAPENDA - ZABRON SINGERS

Muziki

VIDEO | NAWAPENDA – ZABRON SINGERS

By October 11, 2021

TRENDING

To Top