Audio

Audio: Eliud Martine Feat. Jesca Gazuko – Siangalii Nyuma

Mwimbaji anayeendelea kufanya vizuri kwasasa katika huduma ya muziki wa Injili nchini Tanzania maarufu kwa jina Eliud Martine kutoka jijini Mbeya kwa mara nyingine tena ameachia wimbo wake mpya uitwao “Siangalii Nyuma” akiwa amemshirikisha mwimbaji Jesca Gazuko, Muziki huu umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za GCM chini ya mikono ya prodyuza G Love.

“Ni wimbo unaotia nguvu na kushauri kutoangalia nyuma, tuendelee kusonga mbele maana yajayo yanafurahisha katika ufalme wa Mungu. ” – alisema Eliud

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza na kupakua wimbo huu ambao kwa imani tunaamini kuwa utakubariki na kukugusa kwa namna ya kipekee, Amen.

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mwimbaji Eliud Martine kupitia:-
Simu/WhatsApp: +255 759 975 471
Facebook: Eliud Martine
Instagram: @eliud_martine
Youtube: Eliud Martine

Like us on facebook >> Gospo Media Follow us on instagram >> @gospomedia

Advertisements
Previous post

Video | Audio: Baisa Mhela - Shuka

Next post

Video | Audio: AD Music Feat. Happy - Imara