Audio: Eliud Martine - Bye Bye - Gospo Media
Connect with us

Audio: Eliud Martine – Bye Bye

Audio

Audio: Eliud Martine – Bye Bye

Baada ya kufanya vizuri kupitia wimbo wake wa kwanza uitwao Tulia Kwa Yesu aliouachia Disemba 2017 mwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka jijini Mbeya Eliud Martine kwa mara nyingine tena katika mwaka 2018 ameachia wimbo wake mpya uitwao “Bye Bye”, Muziki ukiwa umetayaarishwa na mikono ya prodyuza G Love na kurekodiwa ndani ya studio za GCM.

“Shetani Bye Bye… kwako sirudi tena… Ni wimbo ninaomzungumzia shetani jinsi anavyotumikisha watu katika dhambi pasipo wao kujua, lakini pindi tunapoijua kweli…. Tunafanyika huru kweli…. Nakujua kuwa Mungu yeye ni mwema na kiongozi wa maisha yetu…. Hata yajapo magumu, mazito tusirudi nyuma na tuangalie mbele… ” – alisema Eliud

Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kusikiliza na kupakua wimbo huu ambao nina imani kuwa utakubariki na kukugusa kwa namna ya kipekee, Amen.

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mwimbaji Eliud Martine kupitia:-
Simu/WhatsApp: +255 759 975 471
Facebook: Eliud Martine
Instagram: @eliud_martine
Youtube: Eliud Martine

Like us on facebook >> Gospo Media Follow us on instagram >> @gospomedia

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

To Top