Connect with us

Eliud Martine Amechia Wimbo NITASIMAMA TENA

Eliud Martine Amechia Wimbo NITASIMAMA TENA

Muziki

Eliud Martine Amechia Wimbo NITASIMAMA TENA

Eliud Martine ni mwimbaji wa nyimbo za injili nchini Tanzania na sasa ameachia wimbo mzuri unaoitwa NITASIMAMA TENA Karibu kusikiliza, kuinjilika na kuburudika. Usisahau ku-subscribe, ku-like, ku-comment na ku-share wimbo huu na utakuwa umefanyika baraka kwake. Barikiwa.

Connect:
WhatsApp: +255 759 975 471
Facebook: Eliud Martine
Instagram: @eliud_martine
Youtube: Eliud martine

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top