Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Audio: Elijah Mgonja Feat. Agust Luck – Kaniwezesha

Audio

Audio: Elijah Mgonja Feat. Agust Luck – Kaniwezesha

Kutoka jijini Arusha kwa mara ya kwanza tunamtambulisha kwako mwimbaji mpya anayefahamika kwa jina la Elijah Mgonja na huu ni wimbo wake mpya uitwao Kaniwezesha akiwa amemshirikisha rapa Agust Luck,

Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za DM Records chini ya mikono ya prodyuza Deon Beats.

“KANIWEZESHA ni wimbo uliobeba ujumbe wa matumaini na shukrani kwa yale ambayo Bwana wetu Yesu Kristo amekuwa akitupigania na kututendea, Kuna vifungo ambavyo shetani anafunga watu ili wasiweze kufikia mpango wa Mungu Kama ilivyokuwa kwangu mimi Elijah niliyezaliwa katika familia ya Kiislamu, Hakika nina kila sababu ya kumshukuru Mungu kwa kuniwezesha kupata wokovu  na kuzilinda hatua zangu – alisema Elijah Mgonja

Isaya 38 : 17 Tazama; nalikuwa na uchungu mwingi kwa ajili ya amani yangu;Lakini kwa kunipenda umeniokoa na shimo la uharibifu;Kwa maana umezitupa dhambi zangu zote nyuma yako.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu mzuri ambo ni hakika utakubariki, Ameen.

Kwa watumiaji wa tovuti bonyeza hapa chini:

[easy_media_download url=”https://gospomedia.com/wp-content/uploads/2018/11/Elijah-Mgonja-Feat.-Agust-Luck-Kaniwezesha.mp3″ text=”Download Audio” force_dl=”1″]

Kwa watumiaji wa App bonyeza hapa chini:
Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mwimbaji Elijah Mgonja kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 759 669 805 au+ 255 765 811 190
Facebook: Elijah Mgonja
Instagram: @elijahmgonja | @agustluck
Youtube: AGUST LUCK

Advertisements
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 10 ON GOSPOMEDIA

SUBSCRIBE

Enter your email address to subscribe to this blog and receive notifications of new posts by email.

Join 12,309 other subscribers

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top