Connect with us

Audio: Elias Jeremia – Bila Wewe

Elias Jeremia - Bila Wewe

Muziki

Audio: Elias Jeremia – Bila Wewe

Elias Jeremia - Bila Wewe

Kutoka jijini Dar es salaam kwa mara ya kwanza katika mwaka 2019 tunamtambulisha kwako mwimbaji Elias Jeremia na huu ni wimbo wake wa kwanza uitwao Bila Wewe.

“Mithali 16:1-6 maandalio ya moyo ni ya mwanadamu bali jawabu la ulimi hutokea kwa BWANA njia za mtu ni safi machoni pake mwenyewe, Bali BWANA huzipima roho za watu. Mkabidhi BWANA kazi zako na mawazo yako yatathibitika BWANA amefanya kila kitu kwa kusudi lake,Naam hata wabaya kwa siku ya ubaya.

Kila mwenye moyo wa kiburi ni chukizo kwa BWANA hakika hatakosa adhabu. Kwa rehema na kweli uovu husafishwa Kwa kumcha BWANA watu hujiepusha na maovu. Huu ni wimbo wangu wa kwanza wa kumpa sifa na kumshukuru Mungu na sina mengi kwake Asante YESU.” – Elias Jeremia

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu ambao ni hakika kuwa utakubariki, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na Elias Jeremia kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 765 849 609
Facebook: Elias Jeremia
Instagram: @jeremeliasofficial
Youtube: Elias Jeremia

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

NAWAPENDA - ZABRON SINGERS

Muziki

VIDEO | NAWAPENDA – ZABRON SINGERS

By October 11, 2021

TRENDING

To Top