Video

Music Video | Audio: Eliakim James Feat. Peace Simon – Zaidi Ya Yote

Shalom mwana wa Mungu! leo ikiwa ni ya nne toka tuanze mwaka 2018, kwa utukufu wa Mungu leo nimekusogezea video ya kuabudu iitwayo Zaidi ya Yote kutoka kwa muimbaji mpya wa nyimbo za Injili jijini Dar es salaam anayefahamika kwa jina la Eliakim James akiwa amemshirikisha muimbaji Peace Simon.

Video ya wimbo huu imeongozwa na Allen Masala kutoka studio za Urban Videos na wimbo ukiwa umetayaarishwa ndani ya studio za Shekina chini ya mikono ya prodyuza Mussa Simon.

”Mungu wetu ni zaidi ya yote, Mungu wezu ni zaidi ya vile watu wanavyosema ni mkuu kuliko miungu mingine na ni njia pekee ya kwenda kwa BaBa”.

25 Yesu akamwambia, Mimi ndimi huo ufufuo, na uzima. Yeye aniaminiye mimi, ajapokufa, atakuwa anaishi; Yohana 11 :25

Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kutazama video hii na kupakua wimbo huu ambao ni hakika utakubariki na kukuinua siku zote utakapokuwa unausikiliza. Barikiwa sana!!

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi au mialiko ya huduma wasiliana na muimbaji Eliakim James kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 762 967 330
Facebook: Eliakim James
Instagram: @eliakimjames
YouTube: Eliakim James

Like facebook page >> GOSPOMEDIA  Follow instagram page >> @gospomedia

Advertisements
Previous post

Music Audio: Entujael Msangi - Mwaka Huu

Next post

Music Video | Audio: Ritha Komba-Ni Rafiki