Music

Audio: Elder Dempster – Only You

Anaitwa Elder Dempster muimbaji maarufu wa nyimbo za Injili kutoka nchini nigeria akiwa ni mshindi wa tuzo mbalimbali za kimataifa siku chache zilizopita ameachia wimbo wake mzuri wa kuabudu uitwao Only You ukiwa umetayaarishwa na mikono ya prodyuza anayefahamika kwa jina la M-Chords.

Huu ni wimbo wa Ibada, wimbo ambao unaelezea juu ya uzuri wa Mungu kwakuwa ndiye Yeye tu anayestahili Ibada na sifa zetu. Huu ni wimbo wa kila mtu anayekiri kwamba Yesu ndiye anayestahiki Sifa katika maisha yetu kwa sababu yeye ndiye chanzo chetu cha kweli.

Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kusikiliza na kupakau wimbo huu nikiamini utakwenda kutenda muujiza ndani ya moyo wako siku ya leo, Ameen.

 

Download Audio

Social Media
Facebook: Gbenebro Dempster
Instagram: @elderdempstermusic
Twitter: @elderdempster
Website: www.elderdempstermusic.com

Like facebook page >> GOSPOMEDIA  Follow instagram page >> @gospomedia

Lads

Lads

Mimi ni Ladslaus Milanzi mwanzilishi na muasisi wa mtandao bora wa habari za kikristo, maarifa na burudani za muziki wa Injili kutoka ndani na nje ya Tanzania. Naamini nimebeba kusudi la kumtumikia Mungu na jamii kupitia chombo hiki ambacho kwa hakika kinazidi kuwa baraka kwa waimbaji, wachungaji, watu binafsi, makanisa na taasisi mbalimbali ambazo zimekuwa zikitumia chombo hiki kupata taarifa, kujifunza na kujitangaza. Mungu Ibariki Gospo Media, Mungu Ibariki Tanzania.
Wasiliana nami kupitia simu/whatsApp: +255 755 038 159.

Previous post

Video | Audio: Saido The Worshiper - Nasema Asante

Next post

Video | Audio: Mike & Deglorious – Jesus