Video | Audio: Eko Dydda - Wacha Wajue - Gospo Media
Connect with us

Video | Audio: Eko Dydda – Wacha Wajue

Audio

Video | Audio: Eko Dydda – Wacha Wajue

Kutoka nchini Kenya leo nimekusogezea video ya wimbo wenye mahadhi ya Hip-Hop uitwao “Wacha Wajue” kutoka kwa rapa maarufu katika kiwanda cha muziki wa Injili nchini humo anayefahamika kwa jina la Eko Dydda, Video hii imeongozwa na Director Nezzoh Monts na muziki ukiwa umetayaarishwa na mikono ya prodyuza Handel Music akishirikiana na prodyuza Vicky Pondis kutoka jijini Nairobi Kenya.

“Wacha Wajue” ni wimbo unaokiri uwezo wa jina la Bwana wetu Yesu kristo ambalo limekuwa linatenda miujiza ambayo kwa akili zetu za nyama hatuwezi kuyafikiri wala kuyatafakari maajabu yake na leo kupitia wimbo huu rapa Eko analitangaza na kulikiri jina la Yesu kuwa ni jina lenye nguvu, Ni jina lenye uwezo wa kufanya chochote wakati wowote, Wacha Wajue jina lake linaweza.

Kwa moyo mkunjufu nakukaibisha kutazama na kupakua wimbo huu ambao nina imani utaufurahia na kukubariki, Amen.

Download Audio

Social Media
Facebook: Eko Dydda
Instagram: @ekodydda
Twittter: @ekodydda01
Youtube: Eko Dydda

Like us on facebook >> Gospo Media Follow us on instagram >> @gospomedia

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

To Top