Connect with us

Audio: Edwin Mrope – Mji wa Daudi

Muziki

Audio: Edwin Mrope – Mji wa Daudi

Kutoka jijini Dar es salaam leo tumekusogezea wimbo unaokwenda kwa jina la Mji wa Daudi kutoka kwa mwimbaji wa nyimbo za Injili anayefahmika kwa jina la Edwin Mrope.

Akizungumza na gospomedia.com Edwin Mrope alisema Mji wa Daudi ni wimbo aliouachia rasmi kama zawadi ya kuwatakia heri ya Krismas na Mwaka mpya watu wote duniani.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu ambao ni imani yetu kuwa utakubariki, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mwimbaji Edwin Mrope kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 713 246 084
Facebook: Edwin Mrope
Instagram: @edwinmrope
Youtube: Edwin Mrope

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

TRENDING

To Top