Video | Audio: Edward Sabibi - Ninamjua - Gospo Media
Connect with us

Video | Audio: Edward Sabibi – Ninamjua

Audio

Video | Audio: Edward Sabibi – Ninamjua

Kutoka jijini Mwanza leo nimekusogezea video nzuri ya wimbo uitwao Ninamjua kutoka kwa mwimbaji na mtayaarishaji wa muziki wa Injili maarufu kwa jina la Edward Sabibi, Video hii imeongozwa na director Vipper kutoka studio za Multimotion Filmworks na muziki ukiwa umetayaarishwa na mikono yake mwenyewe na kurekodiwa ndani ya studio za Zoo Records.

“Naam, namjua Yesu Kristo. Lakini hiyo haitoshi. Ninahitaji kumjua zaidi. Kwa sababu usalama wangu unapatikana kwa kumjua zaidi. Nafanya maombi ili wewe uweze kumjua Yeye, kumjua zaidi pia.” – alisema Edward Sabibi

Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kutazama video hii ambayo nina imani kubwa kuwa itakubariki na kukubadilisha wewe ambaye unauhitaji wa kumjua Yesu zaidi.

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mwimbaji Edward Sabibi kupitia:
Simu/WhatsApp: +255763 081 397, +255 622 081 397
Facebook: Edward Sabibi
Instagram: @edwardsabibi
Youtube: Edward Sabibi

Like us on facebook >> Gospo Media Follow us on instagram >> @gospomedia

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

To Top