Audio

Audio: Ebenezer Family Band – Woga Wako

Kutoka jijini Mwanza leo kwa moyo mkunjfu nakukaribisha kusikiliza na kupakua wimbo mzuri uitwao Woga Wako kutoka kwa kundi la waimbaji wa nyimbo za Injili kutoka jijini Mwanza linalofahamika kwa jina la Ebenezer Family Band, muziki huu ukiwa umetayaarishwa ndani ya studio za MP Records.

Nina hakika utabarikiwa na wimbo huu wenye ujumbe wa kukufunza na kukupa nguvu ya matumaini katika kusimama na kutetea imani yako katika maisha yako. Barikiwa sana!

 

Download Audio

Like facebook page >> GOSPOMEDIA  Follow instagram page >> @gospomedia

Advertisements
Previous post

Video | Audio : Gwamna - Hosanna

Next post

Audio: Doh-Ah – Celebration