Video: Dr. Tumaini Msowoya - Ni Mwema - Gospo Media
Connect with us

Video: Dr. Tumaini Msowoya – Ni Mwema

Video

Video: Dr. Tumaini Msowoya – Ni Mwema

Leo ikiwa ni siku ya kwanza katika Mwaka 2019 mtumishi wa Mungu ameamua kuja kivingine kupitia video ya wimbo wake mpya uitwao Ni Mwema.

Video hii imeongozwa na director Namence kutoka Wende Studios na Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za Kings Music Production chini ya mikono ya prodyuza PAPA Denilson.

“Ni Mwema ni wimbo wa sifa unaotukuza ukuu na uwezo wa Mungu juu ya vitu vyote vilivyopo duniani na mbinguni, Kila mwenye pumzi na amsifu Bwana.” – Dr. Tumaini

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema ambayo ni hakika itakubariki kila wakati, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na Dr. Tumaini Msowoya kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 767 000 009
Facebook: Tumaini Msowoya
Instagram: @tumainimsowoya
Youtube: Tumaini Msowoya

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Video

To Top