Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Video: Dr. Phillip Njou – Furaha Yangu

Video

Video: Dr. Phillip Njou – Furaha Yangu

Dr. Phillip Njou - Furaha Yangu

Kutoka jijini Dar es salaam kwa mara ya kwanza katika mwaka 2019 tunamtambulisha kwako Dr. Phillip Njou akiwa ni mwimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania na hii ni video ya wimbo wake mpya unaoitwa Furaha Yangu.

Video hii imeongozwa na director Masai , Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za Perfect Sound chini ya mikono ya prodyuza MoreBeatz.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema tukiamini kuwa utabarikiwa, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na Dr. Phillip Njou kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 656 091 964
Instagram: @philip_njou
Youtube: TUYA TV.

Advertisements
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Video

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top