Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Video: Dr ipyana – In You I Live(Kwako Naishi)

Video

Video: Dr ipyana – In You I Live(Kwako Naishi)

Video: Dr ipyana - In You I Live(Kwako Naishi)

Kutoka kwenye albamu yake iitwayo IBADA kwa mara nyingine tena katika mwaka 2019 mtumishi wa Mungu al maarufu Dr Ipyana ameachia live video yake ya tano iitwayo In You I Live(Kwako Naishi) hii ikiwa ni moja kati ya nyimbo zinazopatikana kwenye albamu hiyo aliyoiachia septemba 2018.

“For by Him all things were created in heaven and on Earth, all things were created and exist through Him In Him we live, move and have our being..” – Dr. Ipyana

Albamu hii imerekodiwa nchini Tanzania na kufanyiwa maboresho(mixing na mastering) ndani ya studio ya Job Audios iliyopo Pretoria nchini South Africa.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema ambayo kwa hakika itakubariki na kukuinua kwa viwango vya juu sana, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na wasiliana na Dr Ipyana kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 625 791 741
Facebook: Dr. Ipyana Kibona
Instagram: @dripyana
Youtube: Dr Ipyana

Advertisements
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Video

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top