Video: Dr Ipyana Feat.Paul Clement - Hata Hili Litapita - Gospo Media
Connect with us

Video: Dr Ipyana Feat.Paul Clement – Hata Hili Litapita

Video: Dr Ipyana Feat.Paul Clement – Hata Hili Litapita

Kutoka kwenye albamu iitwayo IBADA kwa mara nyingine tena mtumishi wa Mungu anayefahamika kama Dr Ipyana ameachia live video ya pili iitwayo Hata Hili Litapita akiwa amemshirikisha mwimbaji mahiri Paul Clement hii ikiwa ni moja kati ya nyimbo zinazopatikana kwenye albamu hiyo aliyoiachia septemba 2018.

Albamu hii imerekodiwa nchini Tanzania na kufanyiwa maboresho(mixing na mastering) ndani ya studio ya Job Audios iliyopo Pretoria nchini South Africa.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema ambayo kwa hakika itakubariki na kukuinua kwa viwango vya juu sana, Amen.

Kwa watumiaji wa tovuti bonyeza hapa chini:

Download Audio

Kwa watumiaji wa App bonyeza hapa chini:
Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mtumishi wa Mungu Dr. Ipyana  kupitia:
Facebook: Dr. Ipyana Kibona
Instagram: @dripyana
Youtube: Dr Ipyana

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Video

To Top