Connect with us

Video: Dr. Ipyana Feat. Gwamaka – Sitakuacha

Dr. Ipyana Feat. Gwamaka - Sitakuacha

Muziki

Video: Dr. Ipyana Feat. Gwamaka – Sitakuacha

Dr. Ipyana Feat. Gwamaka - Sitakuacha

Kutoka kwenye albamu iitwayo IBADA kwa mara nyingine tena mtumishi wa Mungu maarufu kama Dr Ipyana ameachia live video ya tano iitwayo Sitakuacha hii ikiwa ni moja kati ya nyimbo zinazopatikana kwenye albamu hiyo aliyoiachia septemba 2018.

“A song of Testimony After being attacked by armed robbers at his place, Dr Ipyana lost vision on his right eye, where he was admitted to National hospital but unfortunately his eye didn’t respond even after several treatment. But through intense prayers God came, restored his sight and gave him a new song.” – Dr. Ipyana

Albamu hii imerekodiwa nchini Tanzania na kufanyiwa maboresho(mixing na mastering) ndani ya studio ya Job Audios iliyopo Pretoria nchini South Africa.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema ambayo kwa hakika itakubariki na kukuinua kwa viwango vya juu sana, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na Dr Ipyana kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 625 791 741
Facebook: Dr. Ipyana Kibona
Instagram: @dripyana
Youtube: Dr Ipyana

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top