Video | Audio: Dr Ipyana Feat. Goodluck - Moyo Wangu - Gospo Media
Connect with us

Video | Audio: Dr Ipyana Feat. Goodluck – Moyo Wangu

Audio

Video | Audio: Dr Ipyana Feat. Goodluck – Moyo Wangu

Kutoka kwenye albamu yake mpya iitwayo IBADA mtumishi wa Mungu maarufu kama Dr Ipyana kwa mara ya kwanza aachia live video ya wimbo uitwao Moyo Wangu hapa akiwa amemshirikisha mwimbaji Goodluck Msuya, Huu ukiwa ni wimbo wa kwanza kutoka katika albamu hiyo aliyoiachia septemba 2018.

Albamu hii imerekodiwa nchini Tanzania na kufanyiwa maboresho(mixing na mastering) ndani ya studio ya Job Audios iliyopo Pretoria nchini South Africa.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema ambayo kwa hakika itakubariki na kukuinua kwa viwango vya juu sana, Amen.

Kwa watumiaji wa tovuti bonyeza hapa chini:

Download Audio

Kwa watumiaji wa App bonyeza hapa chini:
Download Audio

Nunua albamu ya Ibada hapa >> Ibada 2018

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mtumishi wa Mungu Dr. Ipyana  kupitia:
Facebook: Dr. Ipyana Kibona
Instagram: @dripyana
Youtube: Dr Ipyana

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

To Top