Audio
Audio: Doyin Godwin – Most High
Kutoka nchini Nigeria leo tumekusogezea wimbo mpya kutoka kwa mwimbaji wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Doyin Godwin, Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa chini ya mikono ya prodyuza Lord Louis.
Most High ni wimbo wa maombi unaotoa ushuhuda juu ya ukweli wa Mungu wetu kuwa ni Mungu pekee aliye hai na aliye juu zaidi kama ilivyosemwa katika maandiko kama Danieli 4:34, Yeremia 10:10, na Ufunuo 4: 9-10.
Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu wa Ibada ambao ni hakika utakubariki, Ameen.
Kwa watumiaji wa tovuti bonyeza hapa chini:
Download AudioKwa watumiaji wa App bonyeza hapa chini:
Download Audio
Social Media:
Facebook: Doyin Godwin
Instagram: @doyingodwin
Twitter: @doyingodwin
Continue Reading
Related Topics:Doyin Godwin, Most High, Nigeria, Nyimbo za Injili, Nyimbo za Kuabudu

Click to comment