Uncategorized

The Doxas Walivyohudumu kwenye Tamasha la Iam Worship la Jessica BM,ECG Church Makongo Juu.

Shalom, karibu kwenye kipengele cha Onstage kupitia Gospo Tv ambapo unapata fursa ya kuwashuhudia waimbaji wa Gospo wakihudumu kwenye madhabau na majukwaa mbalimbali.
Leo katika Onstage tumekuwekea video ya kikundi mahiri cha waimbaji wa Muziki wa Injili The Doxaz wakiwa wanahudumu  katika tamasha  la I’am Worship liliyofanyika katika kanisa la  ECG  Makongo juu jijini Dar es salaam. Karibu!!

Like Page yetu ya facebook > GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

Advertisements
Previous post

Onstage: Goodluck Gozbert - Ipo Siku Live Perfomance ndani ya Mirado Hall.

Next post

Download Music Audio: Prisca Sanga-Uweponi Mwako