Audio

DOWNLOAD WIMBO WA SIFAELI MWABUKA-HERI LAWAMA

Anaitwa SIFAELI MWABUKA ni mwanamuziki wa injili kutoka Tanzania na huu ni wimbo unaoitwa HERI LAWAMA ni wimbo uliobeba album yake ambayo sasa ipo sokoni akiongea na GOSPOMEDIA sifaeli mwabuka anasema kupitia wimbo huu ameweza kupata baraka na kukubalika kwa kiasi kikubwa kutokana na ukweli kwamba wimbo wa Heri Lawama ni wimbo unaogusa maisha yake halisi kabisa ambayo amepitia na hivyo kuamua kuandika wimbo huu ambao hata wewe utakugusa kwa namna moja ama nyingine kwakua kila kitu kilichoandikwa na kuimbwa katika wimbo huu ni maisha halisi ambayo kwa namna moja ama nyingine wengi kati yetu tunapitia. sifaeli mwabuka anasema anamshukuru mungu kwa kukamilisha album yake hii mpya amabyo kwasasa ipo sokoni na unaweza kuipata nakala ya album hii ya Heri Lawama kwa kuwasiliana naye na kusikia kile alichobarikiwa na mungu kukugusa wewe unayehitaji faraja na msukumo wa kiroho. kama unahitaji kufanya kazi na sifaeli mwabuka unaweza kuwasiliana naye kwa namba zifuatazo +255719482223.

DOWNLOAD

Like Page yetu facebook Page>>>> GospoMedia

Advertisements
Previous post

PATA UJUZI TOKA KWA TONY LUVANDA 'THINK BEYOND EMPLOYMENT' BY Y.M.P

Next post

GOSPEL MUSIC VIDEO: LUCY NGAJI - NINAKUOGOPA BABA