Audio

Download Official Music Audio: FreyGod Furugutu – Jina Lako

Kutoka Jijini Arusha, blog yako pendwa ya gospomedia.com leo inautambulisha kwako wimbo mpya uitwao Jina Lako kutoka kwa muimbaji mpya wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la FreyGod Furugutu wimbo ukiwa umetaayarishwa ndani ya studio ya Njiku Records chini ya mikono ya producer David Njiku.

gospomedia.com tunakukaribisha kusikiliza na kupakua wimbo huu wa Jina Lako kutoka kwa mumbaji FreyGod Furugutu na hakika utabarikiwa na kuinuliwa sana.

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya huduma wasiliana na mwimbaji FreyGod Furugutu kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 756 398 765
Facebook: : Fredy Godfrey
Instagram: @freygodfurugutu
YouTube: FreyGod Furugutu

Like Page yetu ya facebook > GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

Advertisements
Previous post

Download Music Audio: Elandre Feat Nelly Music - Hope Alive

Next post

Semina Ya Vijana Kanisa La FPCT Kitaifa Kufanyika Dodoma tar 21 June -25 Mwaka Huu