Connect with us

Download Official Music Audio: Estherlyn – Emmanuel

Muziki

Download Official Music Audio: Estherlyn – Emmanuel

Kutoka nchini nigeria leo nimekuwekea wimbo uitwao Emmanuel kutoka kwa mwimbaji mwenye uwezo mkubwa wa kutumia sauti na kuandika nyimbo za Injili zenye kiwango cha kimataifa na huyu si mwingine bali ni Estherlyn Idoko, wimbo ukiwa umetayaarishwa na prodyuza anayefahamika kwa jina la Prince Vibes kutoka nchini nigeria.

Emmauel ni wimbo uliojaa sifa kwa ajili ya Bwana wetu Yesu Kristo ambaye ndiye tegemeo letu ndio kimbilio letu katika kuomba na kupokea baraka katika maisha yetu na hakika kupitia sauti ya mwimbaji huyu utapata kuhudumiwa na kubarikiwa kwa kiasi kikubwa sana.

Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kusikiliza na kupakua wimbo huu ambao ni hakika utakufanya kumtafakari Mungu kwa kiwango kingine cha sifa na utukufu. Karibu ubarikiwe!!

Download Audio

Social Media:
Facebook: Estherlyn Idoko
Instagram: @estherlynidoko
Twitter: @estherlynidoko

Like facebook page >> GOSPOMEDIA  Follow instagram page >> @gospomedia

Continue Reading
Advertisement
You may also like...
Advertisement

TRENDING

To Top