Audio

Download Official Music Audio: Elvis Kiwanga – The Word (Neno)

Kutoka jijini Dar es salaam leo kupitia blog yako pendwa ya gospomedia.com tumekuletea wimbo mpya kutoka kwa mwimbaji wa nyimbo za Injili ambaye kwa mwaka 2016 alitambulika na kufanya vyema kupitia nyimbo zake kadhaa kama vile Hakuna Mungu kama wewe, Hold onto You, Usikate Tamaa na Vumilia mwimbaji huyu anafahamika kwa jina la Elvis Kiwanga, wimbo huu mpya unaitwa The Word (Neno) ukiwa umetengenezwa na producer Edward kutoka studio ya E Records.

Akiongea na timu ya habari ya gospomedia.com mwimbaji Elvis amesema kuwa kwa sasa bado yupo kwenye maandalizi ya kuachia album yake mpya ambayo anatarajia kuiacha muda wowote ndani ya mwaka huu wa 2017 na anaamini itakuwa ni yenye baraka nyingi sana kwa watu wote watakaoweza kupata album hiyo na pia ameongeza kuwa album hiyo itakuwa ni yenye ubora wa kiwango cha kimataifa kwakuwa ametumia lugha mbili tofauti ambazo ni kiswahili na kiingereza ili ujumbe wa neno la Mungu uweze kumfikia kila mmoja atakayesikia kazi yake.

gospomedia.com tunakukaribisha uweze kusikiliza na kuupakua wimbo huu kisha washirikishe na wengine kwa kadri uwezavyo ili kuisambaza Injili kwa watu wengi zaidi wapate kubarikiwa na kuinuliwa kiroho kupitia wimbo huu wa The Word (Neno) kutoka kwa muimbaji Elvis Kiwanga na hakika utabarikiwa sana. Karibu!!

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi au huduma ya mialiko wasiliana na mwimbaji Elvis Kiwanga kupitia:
WhatsApp: +255 652 037 575
Facebook: Elvis Kiwanga
Instagram: eagleredemption(Elvis Kiwanga)
YouTube: Elvis Kiwanga
Email: kiwanga@outlook.com

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

Advertisements
Previous post

Download Music Audio: Love Mdendu - Chozi la Mnyonge

Next post

Audio: Gladys Chabor - I'am Shining Now