Audio

Download Official Music Audio: Bishop Abrah-Shalom

Shalom! kutoka Dar es salaam Tanzania gospomedia.com leo inakuletea wimbo mpya unaoitwa Shalom kutoka kwa Bishop Abrah wimbo ukiwa umetengenezwa chini ya mikono ya producer Amyz kutoka studio ya ENZI Records iliyopo dar es salaam.

Tovuti ya gospomedia.com tunakukaribisha uweze kuusikiliza na kuupakua wimbo huu wa Shalom kisha uwashirikishe na wengine kwa kadri uwezavyo ili kumpa sapoti Bishop Abrah na hakika Mungu atakubariki sana. Karibu!!

DOWNLOAD

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya huduma wasiliana na Bishop Abrah wasiliana nae kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 676 050 396
Facebook: Bishop Abrah Soja
Instagram: @bishop_abrah

Like Page yetu ya facebook > GOSPOMEDIA.COM instagram > @gospomedia

Advertisements
Previous post

Download Music Video+Audio: Shadrack Robert-I Want To Know You

Next post

Download Official Music Video+Audio: Florence Mackenzi-Ipo Faida