Download Music Video+Audio: Linnet Nafula Feat ChyChy-Asante Bwana - Gospo Media
Connect with us

Download Music Video+Audio: Linnet Nafula Feat ChyChy-Asante Bwana

Video

Download Music Video+Audio: Linnet Nafula Feat ChyChy-Asante Bwana

Kutoka kenya leo tunamtambulisha kwako mwimbaji wa nyimbo za Injili anayefahamka kwa jina la Linnet Nafula na hii ni video yake mpya inayoitwa Aksante Bwana video ikiwa imeongozwa na director Jaymenge kutoka studio ya Calm Media iliyopo kenya na wimbo ukiwa umetengenezwa na producer Ihaji kutoka studio ya Crine Music kutoka Kenya.

gospomedia.com tunakukaribisha kuweza kuitazama video hii na kuupakua(kudownload) wimbo huu kisha washirikishe na wengine ili waweze kubarikiwa kupitia video hii na wimbo huu. Karibu!!

DOWNLOAD Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mwimbaji Linnet Nafula wasiliana naye kupitia
Simu/WhatsApp: +254 721 565 620
Facebook: Linnet Nafula
Instagram: @linnetnafula
YouTube: Linnet Nafula Wepukhulu
Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram>> @gospomedia

More in Video

To Top