Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Download Music Audio+Video: Masanja Feat Walter Chilambo-Monica

Video

Download Music Audio+Video: Masanja Feat Walter Chilambo-Monica

Kutoka Dar es salaam Tanzania, leo kupitia tovuti ya gospomedia.com tunaitambulisha kwako video mpya inayoitwa Monica kutoka kwa muimbaji wa nyimbo za Injili ambaye pia amebarikiwa kuwa na vipawa vingi katika maisha yake huyu si mwingine bali ni Masanja au Pastor Masanja (Emmanuel Mgaya) hapa akiwa amemshirikisha muimbaji Walter Chilambo wimbo huu ameuachia rasmi ikiwa ni zawadi kwa mke wake aitwaye Monica ambaye alifunga naye ndoa siku za hivi karibuni hata hivyo wimbo huu ni maalumu kwa watu wote wanaohitaji kuwaonyesha upendo wenza wao hasa wanandoa na wale wanaoingia kwenye ndoa.

Video ya wimbo huu imeongozwa na director Link Reuben kutoka studio ya Link Tv.

gospomedia.com tunakukaribisha kuitazama video ya wimbo huu mpya uitwao Monica kutoka kwa muimbaji Emmanel Mgaya (Masanja) pia unaweza kusikiliza na kupakua wimbo huu kisha mpe sapoti kwa kuwashirikisha na wengine hasa wapendanao walio kwenye ndoa na hakika Mungu atakubariki sana. Karibu!

Download

Kwa mawasiliano zaidi na huduma ya mialiko wasiliana na muimbaji Pastor Masanja kupitia

Simu/WhatsApp: +255713855855
Facebook: Emmanuel Mgaya
Instagram: masanja

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

Advertisements

More in Video

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top