Connect with us

Download Music Audio: Wema Bukuku – Nikuabudu

Muziki

Download Music Audio: Wema Bukuku – Nikuabudu

Kutoka jijini Mbeya, leo kupitia tovuti yako pendwa ya gospomedia.com tumekuwekea wimbo mpya wa kuabudu kutoka kwa muimbaji mpya wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Wema Bukuku wimbo unaitwa Nikuabudu wimbo huu umetayaarishwa ndani ya studio ya Mefo chini ya usimamizi wa producer Kingson kutoka jijini Mbeya.

gospomedia.com inakukaribisha kusikiliza na kupakua wimbo huu wenye mvuto wa kipekee masikioni kutoka kwa muimbaji Wema Bukuku na hakika utabarikiwa sana. Karibu!!

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na huduma ya mialiko wasiliana na muimbaji Wema Bukuku kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 763 465 065
Facebook: Wema Bukuku
Instagram: @wemabukuku

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

NAWAPENDA - ZABRON SINGERS

Muziki

VIDEO | NAWAPENDA – ZABRON SINGERS

By October 11, 2021

TRENDING

To Top