Audio

Download Music Audio: Walter Chilambo – Namba Moja

Kutoka jijini Dar es salaam Tanzania leo kupitia tovuti yako pendwa ya gospomedia.com inatambulisha wimbo mpya uitwao Namba Moja kutoka kwa muimbaji mahiri wa nyimbo za Injili anayejulikana kwa jina la Walter Chilambo wimbo huu umetayaarishwa na producer Leonard bjzee kutoka jijini Dar es salaam.

gospomedia.com inakukaribisha kusikiliza na kuupakua wimbo huu na hakika utabarikiwa sana. Karibu!!

Download Audio

Fast Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya huduma wasiliana na Walter Chilambo kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 718 069 509
Facebook: Walter Chilambo
Instagram: @walterchilambotz

Like Page yetu ya facebook > GOSPOMEDIA.COM instagram > @gospomedia

Advertisements
Previous post

Tazama Video | Download Music Audio: Neema Ng'asha - Usilie Tena

Next post

Jinsi ya Kufanikiwa Sehemu Ya nne: Ijue Nguvu ya Nidhamu katika Mafanikio Yako.