Audio

Download Music Audio: Soul Brothers-Uwe Wangu Bwana

Kutoka Mwanza Tanzania tovuti ya gospomedia.com leo inakuletea wimbo mpya unaoitwa Uwe Wangu Bwana kutoka kwa Soul Brothers Unity hili ni kundi a vijana wawili ambao ni Yohana Mwachali na Musa Isaya ambao kwa pamoja wameamua kumtumikia Mungu kwa njia ya kuimba muziki wa Injili, wimbo huu umetengenzwa ndani ya studio ya Update Music chini ya Mikono ya Producer Doncha Master.

gospomedia.com tunakukaribisha kuupakua(kudownload) na kuusikiliza wimbo huu wa Uwe Wangu Bwana kisha uwashirikishe na wengine kwa kadri uwezavyo ii waweze kubarikiwa na wimbo huu na hakika Mungu atakubariki sana. Karibu!!

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya huduma wasiliana na Soul Brothers Unity wasiliana nao kupitia:
Simu/WhatsApp: +255753659114 au +255766304402
Facebook: Soul Brothers Unity TZ
Instagram: @soulbrothersunitytz
Twitter: @soul_tz

DOWNLOAD

Like Page yetu ya facebook > GOSPOMEDIA.COM instagram > @gospomedia

Advertisements
Previous post

Download Music Video+Audio: Benachi - Last Word(Neno La Mwisho)

Next post

Download Music Audio: Moses Simkoko Feat Hondwa Mathias-Kesho Yako