DOWNLOAD MUSIC AUDIO: SOUL BROTHERS - NAKUSUBIRI - Gospo Media
Connect with us

DOWNLOAD MUSIC AUDIO: SOUL BROTHERS – NAKUSUBIRI

Audio

DOWNLOAD MUSIC AUDIO: SOUL BROTHERS – NAKUSUBIRI

Wanaitwa SOUL BROTHERS ni kundi la muziki wa nyimbo za Injili kutoka mwanza Tanzania huu ni wimbo wao mpya unaoitwa NAKUSUBIRI wakiwa wanatoa ujumbe kwa mtu kuwa mvumilivu na kusubiri wakati wa bwana kwa kila unachopitia. GospoMedia imekuwekea wimbo huu uweze kuudownload na kuusikiliza kisha share na wengine nao waweze kubarikiwa na wimbo huu kwa yeyote anayehitaji kuwapa sapoti au kuwaalika kwa huduma unaweza kuwasiliana na vijana hawa kupitia namba hizi +255753659114. Barikiwa sana!!

DOWNLOAD

 

Like Page yetu ya facebook >>>> GOSPOMEDIA

More in Audio

To Top